Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

Acha kuandika PUMBA! Nyie wenye viwanja vya kupora kila kona Nchini mmefanya lipi la maana zaidi ya wizi na ufisadi wa trillions!?
Hahahaha Chadema wamekuwa wakali utadhani ni under dog wkt mmeshaanza kuunda serikali hata kabla ya uchaguzi kwa maana kila mwanachadema anaamini Lissu anashinda sasa mnatakiwa kurelax wazee

Kingine unapotoa tuhuma nzito kama hzo za CCM kupora viwanja ebu niambie kuna kesi mahakama gani kuanzia mahakama ya mwanzo mpk mahakama ya rufaa kama kuna kesi ya mtu aliyeporwa viwanja na CCM

Kuhusu wizi wa matrillions nadhani utuambie zile SGR zinajengwa kwa ela za wizi yale madaraja na mabarabara yanajengwa kwa ela ya wizi zile meli zinanunuliwa na ela ya wizi uchumi wa kati umefikiwa kwa ela ya wizi kama ni wizi wa namna hii bhasi ni wizi mzuri lakini wizi wa kuwakata wabunge wenu ela kila mwisho wa mwezi si wizi kuchukua ruzuku ,kuchangisha ela mitandaoni si wizi ikiwa mpk leo mnakaa kwenye nyumba ya kupanga pale Ufipa mmeshindwa hata kujenga vyumba viwili viwe ofisi ya makao makuu yenu ambayo kila mwanachadema atasema hii ni michango au ruzuku ambayo Watanzania wote tunawachangia kwa kodi zetu.
 
Ndugu Zitto mtawezaje kuungana kwenye uchaguzi huu na kuitoa serikali ya ccm ikiwa mmeshaanza kunyukana wenyewe kwa wenyewe?
 
Hivi si ni kitila na ZITTO ndio walianzisha ACT?.. Watu wanasahau haraka Sana.. Boniface asishangae sana kuwekewa mapingamizi na ACT.. BEWARE: Politicians at work.
Mbwa uliyemfuga tangia akiwa mdogo then ukamuacha siku ukikutana naye hawezi kukung'ata.sana sana atakulaki
 
Hahahahahahaha yeye akiwekea mapingamizi wengine hawakimbiliii mitandaoni lakini kawekewa yeye fasta anakimbilia mitandaoni kulia lia Chadema wameshaona mitandaoni kama ndo HQ yao si Ufipa tena

Chadema wanadanganywa na twakimu za kuwa
Wananchi wenye kuaccess Internet Tanzania ni milion 22.3 sawa na asilimia 41.4 ya wananchi wote sijui kama walishajiuliza Tanzania ni mambo gani au vitu gani vinafatiliwa au kugoogle sana kwenye Internet ?

Watanzania wengi wanaotumia internet hawafatilii siasa kwenye mitandao ni asilimia chache sana hata ukifanya utafiti utagundua ni Twitter na Jamii forum tu ndo wanafatilia siasa but sehemu au mitandao mingine nadhani unajua nn kinafatiliwa sasa jiulize Twitter na JF ni watanzania wangapi wana account au kuijua?

Tanzania bado main stream media(TV,Magazeti,Radio) bado zinanguvu sana na bado zinafatiliwa na watu wengi kwa sababu kupata taarifa huko ni free au cheap kulinganisha na mitandaoni sasa wanapogeuza mitandao kama ndo sehemu muhimu ya kuwapasha habari Watanzania wanatakiwa kujua nilazima uwe na bando kitu ambacho mtu wa mikoani hawezi kununua GB 4 eti kumuangalia Tundu Lissu akiutubia You tube au Chedema wanasema nini mitandaoni .
Watu mmoja akifuatilia kwenye internet anasimulia watu zaidi ya watano na hao watano wanasimulia wengine taarifa usambaa ivyo uko nchi gani wewe
 
Ndio maana niliwahi kuchangia mchango Fulani humu kwamba, akili zangu hazikubalii kabia kwamba Membe kajiunga upinzani, NAKATAA. Historia ya uanzishwaji wa hiki chama inajulikana; yalikua mawazo ya Jack Zoka na Jack Zoka alikua shushushu aliyekubuhu akifanyia kazi zake Ikulu ya Kikwete by that time, Membe anajulikana kwamba na yeye ni shushushu aliyekubuhu; mtu kama huyo anawezaje kuondoka kirahisi hivyo na asifanywe chochote na system? Hiki ni chama B cha ccm
 
Kamuulize Kikwete kwanini alitoa kauli kama hii!?

1598459163005.jpeg

Hahahaha Chadema wamekuwa wakali utadhani ni under dog wkt mmeshaanza kuunda serikali hata kabla ya uchaguzi kwa maana kila mwanachadema anaamini Lissu anashinda sasa mnatakiwa kurelax wazee

Kingine unapotoa tuhuma nzito kama hzo za CCM kupora viwanja ebu niambie kuna kesi mahakama gani kuanzia mahakama ya mwanzo mpk mahakama ya rufaa kama kuna kesi ya mtu aliyeporwa viwanja na CCM

Kuhusu wizi wa matrillions nadhani utuambie zile SGR zinajengwa kwa ela za wizi yale madaraja na mabarabara yanajengwa kwa ela ya wizi zile meli zinanunuliwa na ela ya wizi uchumi wa kati umefikiwa kwa ela ya wizi kama ni wizi wa namna hii bhasi ni wizi mzuri lakini wizi wa kuwakata wabunge wenu ela kila mwisho wa mwezi si wizi kuchukua ruzuku ,kuchangisha ela mitandaoni si wizi ikiwa mpk leo mnakaa kwenye nyumba ya kupanga pale Ufipa mmeshindwa hata kujenga vyumba viwili viwe ofisi ya makao makuu yenu ambayo kila mwanachadema atasema hii ni michango au ruzuku ambayo Watanzania wote tunawachangia kwa kodi zetu.
 
Membe na ACT yake walikuwa wanafikiri Lissu atakatwa...ishakula kwao

Sasa ni wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
isije kuwa wanamzuga tu Maalim Seif... mwisho wa siku anashindwa kuchukua fomu
 
Kama kawekewa so what? Ajibu pingamizi atafuta huruma ambayo haipo
 
Chama pekee cha upinzani Tanzania, Africa na duniani ni CHADEMA pekeee, hawa wengine waganga njaa.
 
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.

Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.

Huyu sio Membe kupitia ACT?
Kulalamika inaonekana kuwa NI ILANI KATIKA CHADEMA na hawasemi hasa pingamizi ni juu ya nini bali wanatafuta huruma ya wananchi.

Kama umewekewa pingamizi si uende uka-clarify katika ngazi husika kuliko kuja kulia lia kwenye social networks.

Nyie jamaa mnazingua kinomaaa
 
Nadhani Boni angejielekeza kwenye kujibu mapingamizi,kuliko kukimbilia mitandaoni kutafuta simpathy,baada ya kumaliza kujibu mapingamizi na kujitetea ndiyo angerudi mitandaoni
 
Back
Top Bottom