Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Halafu ACT ndio waungane na CDM?
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.
Huyu sio Membe kupitia ACT?