BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kama sikosei December 2012 au 2013 alianzisha uzi humu wa kuomba samahani viongozi wenzie wa Chadema wanachama na wapenzi na pia kutoa ushirikiano wa hali ya juu. Kukawa na maswali mengi ikiwemo umefanya kosa gani na maswali kuhusu matukio miezi miwili kabla ya uchaguzi Mkuu 2010 alijikanyaga kanyaga sana nadhani hata mwenyewe alijistukia hivyo akaomba ule uzi ufutwe na ukafutwa.
Hawezi kuacha, haaminiki, ni mchumia tumbo hodari sana