Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

Jimmy Mafufu aikana mimba ya Mashalove

Ila wanaume bana yaani mtu unamuona tu alivo na kash kash zake halafu bado unajilipua unasahau yakibuma atakayeathirika ni wewe.

Mimi kama mwanamke kuna mwanamke mwanaume wangu akinisaliti naye nitaumia ila najua angalau kaniheshimu ila kuna wengine hata kama ni ndoa itavunjika kwakweli.

Mana utajikuta anachafuliwa yeye na familia nzima.

Wanaume kama mmeona kuchepuka dili tafuteni michepuko yenye heshima basi kuzilinda familia zenu sio mnaokota mijitu hata adabu haina.

Kama kweli kapita nae pole yake hakuangalia mbele hiyo inaitwaga mwana kulitafuta.
 
Ila wanaume bana yaani mtu unamuona tu alivo na kash kash zake halafu bado unajilipua unasahai yakibuma atakayeathirika ni wewe.
Mimi kama mwanamke kuna mwanamke mwanaume wangu akinisaliti naye nitaumia ila najua angalau kaniheshimu ila Kuna wengine hata kama ni ndoa itavunjika kwakweli.
Mana utajikuta anachafuliwa yeye na familia nzima.
Wanaume kama mmeona kuchepuka dili tafuteni michepuko yenye heshima badi kuzilinda familia zenu sio mnaokoto mijitu hata adabu haina.
Kama kweli kapita nae pole yake hakuangalia mbele hiyo inaitwaga mwana kulitafuta.
Mwanakulipata Mzee wa church[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!Ila Kwa masha daahh...km kweli huzunii nawaza mkewe tuuu
 
Michepuko bhana,

Hapo lengo la Masha Ni MKE wa jamaa apanic amuache mumewe, yeye achukue nafas.

Wake walio kwenye ndoa washaustukia Huu mchongo, haachiki mtu hapa[emoji4]
Ahahaha mkuu yamekutokeaa nn kwa mam j mnk kimy ujatoa mrejesho muda tu
 
Kwani .Masha Ni nani na mafufu Ana cheo gani nnch hhii mnk naoan instrag anajadiliwa mno
 
Mwanakulipata Mzee wa church[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!Ila Kwa masha daahh...km kweli huzunii nawaza mkewe tuuu
Mimi najaribu kuvaa viatu vya mkewe ila naona havinitoshi kwakweli.
Sijui ana hali gani huko alipo mbaya zaidi unagundua ni kweli japo anakana ila unajua kabisa kweli.
 
Michepuko tutumie kondom ndugu zangu,, huyo masha hana akili kichwani anaonekana tu kwa jinsi anavojiwekaga.

Huyu mwamba nae alikosa kabsa dem !!

Wanawake acheni uhuni wa kutusingizia kuwa alitaka kinyume na maumbile, yaan saiv ukigombana na nwanamke tu anakusingizia huu upuuzi
 
Back
Top Bottom