Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

hawezi kurusha tako hapo huyo sio gwajima na kwa taarifa tu huyu mjeda kujitoa kwake tayari kuna support imeanza kumtafta
 
Ni muhimu wajitokeze tujue wana msimamo thabiti, nia ya dhati ya kusifia ufisadi, majambazi, wauaji na wapingana na wazalendo wote wanaodai haki na uwajibikaji.
Wajitokeze? Bado wanapiga mahesabu vipi itakuwaje wakidakwa na vijana wa JWTZ na kupelekwa huko makambini? Kichura chura watakimudu? Capt. Tesha Jana kawachimba mkwara wasanii wakae upande wa wananchi…
 
Kwahiyo wakina Mwijaku, Mafufu, Mangele, Msando wanayumba wakitafakari kichurachura.

Umeeleweka, kumbe wanawajibu kwa dharau na kejeli na nyodo wasio na nguvu pekee kwa sasa watu kama Polepole.
 
Yaani mtu uende kupishana makelele na hao wendawazimu?
mafufu sijui na steve hao waomba bia asubuhi mpaka kunakucha ombaomba.
Utaongea nao nini waelewe hawo
 
Back
Top Bottom