Shemeji uache kutusingizia malaika sie[emoji57]Nlitaka kukusalimia tu shemeji...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushatajwa mara ngapi?Hahaaa huu uzi unachekesha hatari
Silent killers uh!!!
Ila rafiki wewe hata usiongee, wakijitokeza hapa nafikiri ungetukanwa matusi ambayo hayajatungwa.
Mie sijawahi umiza jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ooooh poor Baraka.
Yaani hayo hata google hayapo.Hahahahahaaaa matusi ya mtandao? Unaingia kwanza google kuyatafuta......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haahha huwa namkumbuka sana na alianza nitongoza yeye ndo akaja pampula wangu!bas kumfaham pampula nikaanza nyoooooooooddddddddo !sipend kukumbuka nilivyokuwa namdharau !naumia ! yupo kwenye kampuni ya minara !Engineer !siwez mtafuta !ila anisamehe tu ! na marafiki nao walinipoteza dadek
Kwa comments hizi!! Kumbe mapenzi yanahitaji uvumilivu sana ambao wengi hatuna.
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.
Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
Huyo huyo fwarasi KabisaHuyu ndo yule wa ukoo wa Padlock?
Nimpe nini huyo mlugalugaUlikosa wa kumpa ?
Soma vizuri, nimeandika SINA foleni... ebo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shenzi kweli wewe, bora msafara ni mfupi maana waweza kuwa wa watatu tu. Ila foleni na msururu ni noma.