The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,412
Hahah... Hata mi hiyo namba tano ndo niliyoihakikisha 100%Aisee mkuu hyo namba tano inanihusu, Kila laheri SARAH BOAZ MKUMBO najua umelipa ubaya kwa ubaya niliyo kufanyia licha ya kukuomba radhi na ukasema umensamehe sasa nimeshangaa ukaamua kuzaa na huyo jamaa .Nakutakia maisha mema wewe, mumeo na mwanao ...