Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Sylvia ,Hawa malaya sana,Yupo mmoja anajifanya mlokole anasalali kanisa DPC kinondoni, Shombe shombe hivi kama Mburushi wa Mbeya, Yaani huyu katombesha kwa wajamaa wa kinaijeria,Wazungu na Wahindi na bado ana kaserengeti boy chake kapo nje ya nchi kanasoma
Huyu msenge sylvia alinikatalia form moko ila kuna wahenga kibao walikuwa wanaweka kinyele nae alikuwa mtu wa mbeya huko huko kibuyuuu..Sylvia opportunist af style yao hio hio ya kujitia wameokoka
 
Satan,maana huyu ndo alikuwa ananipelekapeleka less kimapenz
 
Nafundisha sekondari, na kama wameanza si nyie ndio mmewaanzishia. Mnawatenda weeeh alafu wakija kuwatenda mnalalamika!!

Tangu nitambue kuwa mimi ni binadamu na sijakamilika hivyo vile ambavyo ninawadisapoint watu ndivyo hivyo hivyo nitegemee dissapointment kutoka kwa wengine naishi maisha fresh tu.
Sitegemei kuhold grudge against anybody. Nakupuuza maisha yanaendelea.
Nimekuelewa my sister,

Unajua kuhifadhi vitu moyoni muda mrefu ni shida Sana, najua inauma Ila inabidi tujifunze kuwa mapito tu then tusonge mbele
 
Pia kuna Maria alinisaliti vibaya!!!! what's the helly with you Mary. Ulinidanganya unaenda kulala ofisini kwenu kuna kazi kutwa nzima na unaweza kulala ili mmalize kazi uende likizo. Kumbe ulienda town kugawa uroda kwa lijamaa mliosoma nalo. Kama upo humu jf umenijua. Nilikuacha bila kusema sababu na uliporudi likizo ukanikuta sina mpango na wewe
 
Back
Top Bottom