Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,997
UlimnyooshaPia kuna Maria alinisaliti vibaya!!!! what's the helly with you Mary. Ulinidanganya unaenda kulala ofisini kwenu kuna kazi kutwa nzima na unaweza kulala ili mmalize kazi uende likizo. Kumbe ulienda town kugawa uroda kwa lijamaa mliosoma nalo. Kama upo humu jf umenijua. Nilikuacha bila kusema sababu na uliporudi likizo ukanikuta sina mpango na wewe