Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Huu uzi kwa tathimini wanaume ndo mnalalamika sana kutendwa na wanawake....kwani wanawake hamtendwi au vichwa ngumu??
hahaahha wanawake bora mkatulia mtusikilize tu maana hamna ujasiri wa kusema ila wahanga wakubwa ni nyie

sie tunatendwa (mara 1-2 ) hapo ni pale kwa tulio wapenda ama kuwa na mahusiano nao huku tukiwa na michepuko ya kutosha (asilimia kubwa ya wanao lalamika hawakua na mpz mmoja)
 
Tunasikilizia, tukianza kujibu mapigo mtatuelewa, Mana mnatupa laana humu, mnatutusi sisi, tumewatenda sisi, hahaha tunachungulia tu,
 
wanawake wakisema humu uzi utajaa simanzi maana huwa mnajitoa mazima, mnalipia watu ada, mnapika na kufua hata ndoa bado

una mimba ila mtu yuko bize na wanawake wengine hahahah mambo haya
 
Kumbe mnaelewa mnachofanya, mnatudangia nyie weee, mwisho wa siku mnavotoka mbio utadhani Usain bolt yupo kwenye mashindno ya olympik.

Ila mmelalamika na matusi juu kinavowanyongolokota Kama nywele za kimasai sie tumemute, malizeni tuanze na sie kuwataja...mlivotutenda
 
ujue ukiumizwa/tendwa alafu ukasikia na upande wa pili katendwa unapata ka ahueni

s
 
Kumbe mnaelewa mnachofanya, mnatudangia nyie weee, mwisho wa siku mnavotoka mbio utadhani Usain bolt yupo kwenye mashindno ya olympik.

Ila mmelalamika na matusi juu kinavowanyongolokota Kama nywele za kimasai sie tumemute, malizeni tuanze na sie kuwataja...mlivotutenda

Kwami wewe jina limeonekana mara ngapi?
 
Mkuu huyu nilimgegeda mara mbili nikaona hatuendani tukaachana, ikawa kila muda ni matusi na kashfa, anapeleleza akimjua dem wako anaenda kuharibu.

Mkuu unavyomzungumzia huyo mtu as ni mtu ninayemjua pia. Hata jina ni hilo hilo. But labda ni mfanano tu wa ki-coincidence!! Pole sana bro!
 
Lisa, Eliza, Jenny, Salome, Janet, Grace, Irene,Elisia, Lucy, Nasra, Hawa, Leticia, Anet, Maria, Anna, Doris, Lillian, Catherine.

Nimeweza kuwakumbuka hawa tu!
 
Back
Top Bottom