Wanawake wapogi kwenye safe side maana wanahiari ya kupokea ama kukataa kupokea. ME always ni watafutaji na watoaji so do the math broHuu uzi kwa tathimini wanaume ndo mnalalamika sana kutendwa na wanawake....kwani wanawake hamtendwi au vichwa ngumu??
Wapo wanawake wapo watafutaji, sema wanavumilia, mnalia sana kutendwa jamani mtadhani sisi hatutendwWanawake wapogi kwenye safe side maana wanahiari ya kupokea ama kukataa kupokea. ME always ni watafutaji na watoaji so do the math bro
Wakakuvuruga ukavurugika. Hope majeraha yashapona.
Halijaonekana nahisi hanikumbukiKwami wewe jina limeonekana mara ngapi?
Yaani utendwe na wote hao!! Wewe ndio utakuwa tatizo.Lisa, Eliza, Jenny, Salome, Janet, Grace, Irene,Elisia, Lucy, Nasra, Hawa, Leticia, Anet, Maria, Anna, Doris, Lillian, Catherine.
Nimeweza kuwakumbuka hawa tu!
Salim...... Yaani we mwanaume ulaaniwe Sana na sana qumamaqo
Halijaonekana nahisi hanikumbuki
Haha Yupo, Patrick ulinitenda Mbuni wa mjini wewe....ningejua nisingekukubali ningekaza kamba, ulikuwa baya, afu huna hela nikakuvuvumila ivo hivo umepata vijisent ukaniona fala kunguni wewe, na utaishia kuzalisha huoi ng'oooooo.Sio kwamba hakukumbuki/ hawakukumbuki..haukuumiza mtu ndio maana jina halijatokea.
Kila mtu ni tatizo katika aina yake, tunazidiana tu!Yaani utendwe na wote hao!! Wewe ndio utakuwa tatizo.
wewe ni nay wa mitego nini[emoji3]Simba songea
hahahaha asiwe patrick daktari jamaa yangu ssana wa dodoma, kama ndiye ntafikisha ujumbe pole sanaHaha Yupo, Patrick ulinitenda Mbuni wa mjini wewe....ningejua nisingekukubali ningekaza kamba, ulikuwa baya, afu huna hela nikakuvuvumila ivo hivo umepata vijisent ukaniona fala kunguni wewe, na utaishia kuzalisha huoi ng'oooooo.
Haha Yupo, Patrick ulinitenda Mbuni wa mjini wewe....ningejua nisingekukubali ningekaza kamba, ulikuwa baya, afu huna hela nikakuvuvumila ivo hivo umepata vijisent ukaniona fala kunguni wewe, na utaishia kuzalisha huoi ng'oooooo.
Dah...sasa hapo maumivu na pia kunywa hio sumu lakin mhusika wala yeye yupo kwenye vifua vya wapenzi wengine aiseeeYa panya eti