Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Hahahaaa mleta uzi wajisumbua kumchukia lucy..chuki zako hana habari nazo[emoji12] [emoji12]
 
Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
You are brave..wanawake wengi wanafikiria kuwa ni wanaume wote watakaowanyenyekea kwa wapendavyo wao..Mimi pia msimamo wangu ni huo huo
 
Hahahahaaa mie natafuta wa kutoa povu nimekosa...naona umeamua kuvunja ukimya kwa hisani ya JF
Nimewakilisha maana nyie tu ndo mlalamike wakati na sisi tumeguswa panapo, toa povu tu atalipata popote alipo,
 
Anitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma

mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
 
K
Maria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
arma alimtembelea
 
Sijaona jina langu popote kweli majina yetu tuko gud kwenye lavidavi tukipenda tunapenda,tukitendwa tunatenda
 
Anitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma

mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
Hii list imekuumiza au list ya wapokea mishahara???
 
Mkuu unavyomzungumzia huyo mtu as ni mtu ninayemjua pia. Hata jina ni hilo hilo. But labda ni mfanano tu wa ki-coincidence!! Pole sana bro!
Ni noma mkuu huyu alitaka kuja mpaka Kanisani kuzuia ndoa yangu bahati nzuri washikaji wakamtaiti kabla hajangia ndani
 
Shida kwa kuwa nimeongea ukweli??Kwa upande wako wa kufikiri upo sahihi ila kiuhalisia haupo sahihi
Nanogesha story mkuu, tuko pamoja, naelewa ukizaliwa "mwanaume", hata mi nikifunguka hiyo list ni ndogo
 
Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabib hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako


ha ha hahaaa haaaaaaaa.
mkuu alikufanya uishi kama kiboko..?
 
Back
Top Bottom