Ndiyo mkuu nililazimika kula mro mmoja ili nitimize matakwa yake nikimpa kadri ya uwezo wangu ila alichonifanyia Anna ni zaidi ya Yuda kumsaliti Yesuha ha hahaaa haaaaaaaa.
mkuu alikufanya uishi kama kiboko..?
basi atafute mchin aiseeAliondoka kwa mbwembwe lakin hakujua kuwa malipo hapahapa tena naskia kila sku anaachwa maana laaana nilizompa sio za nchi hii ni za kichina kabisa
Pamoja sana mkuuNanogesha story mkuu, tuko pamoja, naelewa ukizaliwa "mwanaume", hata mi nikifunguka hiyo list ni ndogo
Yan nilimlaani kwa lugha ya kichina mpaka nimgangue mwenyewebasi atafute mchin aisee
hehehe mlaani na kinyasa wakamtafune mzima mzima..Yan nilimlaani kwa lugha ya kichina mpaka nimgangue mwenyewe
Mwananyatiiiiiiinasoma nsumba anasoma nganza alicho nifanyia najua hatari ila sijui yupo WAP sasa hv
mama muuza gongo, kuishi temeke...mpk hapo ulitakiwa utembee kwa tahadhali bila kujiachia mazimaSikujua amani .mamake alikuwa muuza gongo maarufu pale temeke mwisho. Sasa ni mwalimu huko dar ameolewa na mwalimu mwezie wanafundisha wote
Huyu bitch alikuwa muongo sana sana
Hapana kichina ndo safi kina Yutong shi ngiuuu itakuwa nilitamka maneno ambayo sna uhakika kama nitayakumbk yasaidie kumtolea laanahehehe mlaani na kinyasa wakamtafune mzima mzima..
Nimeipenda hii list Hatar yani mkuu kweli hapa unaumia kwelAnitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma
mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
Pole sana Boss geRuZamaradi nilizaa naye watoto wawili halafu akategea niko Tabora akaamua kuolewa na jamaa mwingine! Dah,ngoja nilie tuu
hongera yako aseesina hat urembo mkuu ! ila kweli sijawah achwa ! au kulia mapenzi hapana !kabla hujafikiria kuniacha mie nishakuacha zamaniiiiiiiiiiii
hehehe Yutong shi... mbavu zangu mie...huyo nae atalipwa hapa hapa duniani...whats goes around always comes around...Hapana kichina ndo safi kina Yutong shi ngiuuu itakuwa nilitamka maneno ambayo sna uhakika kama nitayakumbk yasaidie kumtolea laana
Yan maneno kama Jet lee Jack chen kim tak guyaa shaolin Temple chinkanchii yuyaaa mengine yametoka atateseka sanahehehe Yutong shi... mbavu zangu mie...huyo nae atalipwa hapa hapa duniani...whats goes around always comes around...
Hapana hommie, maana wote aliokupa baba hutampoteza hata mmoja...Je, Kikombe alichonipa baba sitakinywa???
Hahahhahaaa duh ulichelewa kufanya kama diamond[emoji23]Zamaradi nilizaa naye watoto wawili halafu akategea niko Tabora akaamua kuolewa na jamaa mwingine! Dah,ngoja nilie tuu