The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,412
Hahah... Hata mi hiyo namba tano ndo niliyoihakikisha 100%Aisee mkuu hyo namba tano inanihusu, Kila laheri SARAH BOAZ MKUMBO najua umelipa ubaya kwa ubaya niliyo kufanyia licha ya kukuomba radhi na ukasema umensamehe sasa nimeshangaa ukaamua kuzaa na huyo jamaa .Nakutakia maisha mema wewe, mumeo na mwanao ...
Hapo kuna ukweli mkuu... Na mi naunga mkono binafsiHao akina Mary dont try aisee, mama angu ana miaka 60 siku nkawa natania Tu, nipo mama mchumba wangu anaitwa Mary, hapo hapo akasema mmh akina mary ni wajinga Na wahuni mno lkn sikubisha ila nikaumia sana, kwa nini? Kwa sababu mama yangu ni mwalim af walimu ni mafundi Wa saikolojia!!! Yan baada ya wiki mbili tu nilipigwa kibuti... Nakumbuka sana maneno ya mama yangu kwa yule boya!!!
Amekutenda lini niunganishe matukio maana yupo mmoja hapa duuuAneth
Huyu Nyani Ngabu Mungu anamuona anavonfanyia tu[emoji17]
Ngoja nimrekebishie mkuu "Kila nikisikia jina la Lucy,nakumbuka mabaya yote niliyotendewa na aliyekuwa mpenz wangu"omba wakurekebishie heading ya post yako ndio tuchangie, kifupi umechapia
Yupo wapi?Amekutenda lini niunganishe matukio maana yupo mmoja hapa duuu
Ndio mimi hapa, nishakusamehe tayarihahah mkuu mbona umenipania sana !yes najikutaga namuwaza na kumuomba msamaha ! hatukuwah kuwa wapenzi ,ila alikua aninipenda jaman !kha !dis is the sec tym namuomba msamaha! nimesahau surname yake ningemsearch fb !ila nahakika alishanisamehe !
haya nitue bas rohoni mwako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wengine wameona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya matusi noma, laiti hao Maex wangepita huku
Kanda ya ziwaYupo wapi?
Kanda ya ziwa
Basi wakikaa na huyu wanaendanaSio yeye [emoji3]
kama ni mfupi! niko nae sasa hivi huyu kiumbe mkoa mmoja nyanda za juu kusini. kama ni yeye nambie nikulipie maumivu mkuuLeonia popote ulipo Mungu anakuona
Yaani nilicheka kama mwehu.Akii huu uzi naonekana kichaa jamani, sio kwa povu hizi
kuna mary mmoja walikuwa wakimuita mama mchungaji, mie sikujali nikaomba mtanange sio kumgaragaza kule. kila akipata nafasi anataka achezee libolo fcHao akina Mary dont try aisee, mama angu ana miaka 60 siku nkawa natania Tu, nipo mama mchumba wangu anaitwa Mary, hapo hapo akasema mmh akina mary ni wajinga Na wahuni mno lkn sikubisha ila nikaumia sana, kwa nini? Kwa sababu mama yangu ni mwalim af walimu ni mafundi Wa saikolojia!!! Yan baada ya wiki mbili tu nilipigwa kibuti... Nakumbuka sana maneno ya mama yangu kwa yule boya!!!