[emoji1] [emoji1] [emoji1]Zuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Kama upi, unaposema uongo uwe na vithibitisho, au unajua mapito yao yoteMhhh ila jamani kuna wanaume waongo duuuu
Katika tafiti ya hapa, inaelekea mabodaboda, watu wa tra na wachinja kuku ndo wezi wa mapenziBeatrice wewe kweli Wa kugegedwa na mchinja kuku sokoni !!! Mpk Leo sitaki hata kusikia hilo jina
Mchinjaa kuku labdaa alikuwa anampaa dozii yenyewee mzee...!! Ndo maana unakutaa manzi ana jamaa akee mkalii lakini anaenda kutoka na jamaa hana mbele wala nyuma... Mpaka unabaki na maswali miaa kidogo..Katika tafiti ya hapa, inaelekea mabodaboda, watu wa tra na wachinja kuku ndo wezi wa mapenzi
Duuuh [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Braza braza polee namjua huyu mwanamkeJoyce kiwango **** you girl
Mi nakutaka weweUnaitaka iPhone X wewe?
Fanya uje basi hapa Landmark hotel..[emoji6]Mi nakutaka wewe
Yani unajikuta ustaarabu unakutoka mbele za watu unageuka mwehu gafla kisa huu uziYaani nilicheka kama mwehu.
Lydia, Mshe**i sana, sitamsahau kabisa
Lyidia timbwili lake si la kitoto ukimgegeda halafu ukamuacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilishaziandaa mbavu zanguTeopisto a.k.a tonny malipo ni hapahapa duniani hanith kiuno mkubwa we
sjakuona kwenye list loveDuuuh [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahahaa eti cheating geniusCheating Genius Irene mama nimekusamehe lakini sitokusahau.
Kafie mbele
Mkuu karma is a bitchHana madhara yule.