Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Duuuh!! Sio kwa maombi hayo jamani!
 
Hehehehe sio kwa povu hiziii
By the way nimetajwa mara 3...
Ukiachwa futa vumbi songa mbele kwa amani.
 
Mkuu kastory kako kanataka kaendane na mimi nae ni Jasmine hivohivo ngoja niwe makini nisije lia gizani
 
Leo nimeona nifukue makaburi ya nyuz za kuchekesha kama huu nicheke tena
 
We Mwakwetu hapo juu unautani, nina harufu kama wewe ni......., kama ni wewe ninaekuhc kweli najua utakua umepungza hasira kdg.
 
kibonge nyanya, papuch mnuko kumo kivuzii nakuchkia hataree ingawa nawe nilikujeruh kama ulivyonipaga maumiv ila natamani ningekuumiza nawe zaid ya hivyo
 
Hakuna jina nalichukia kama mr kibamia/mara mwanaume suruali/mara mzee wa kimoja chali/mar
 
Duuh mbona huyu dem kama namjua mkuu
Hemu njoo pm mkuu
 
Jennifer alinifanya zuzu sana uongo mwingi sijui kwann nilikuwa namvumilia
Wa Jina hili alinikubalia akanionjesha, akaniaga anasafiri kimasomo mkoa mwingine.

Dadeki Kule kaenda kazalishwa kabisa, anarudi namuuliza mbona hukuniita graduation anasema kule mbali kaja tufanye yetu ghetto. Sijamvua hats sarawili vizuri kapigiwa na mume wake dadeeki.

Jenipher ulitaka kunipa fafa?

Kafie mbali
 
Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Mzee baba mwili haujengwi kwa tofali. Mwache mama ale asee.

Ila huo mfanano wa rangi yake daaah
 
Huyu Irene wa wapi mkuu? Sio yule alienitenda akaja kwako na sasa kasepea kwa mwanao?

Irene wabachinjia baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…