Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Nipo natizama Siri za Familia namuona Galton, nipo JF namuona Ndege Joni,
 
Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh inaonekana basi mm nna moyo mwepesi wa kusahau ya nyuma au sina record ya kutendwa..maana sikumbuki lolote kuhusu mapenzi ya nyuma zaidi ya kuwanyonyoa maex tu..ata cjui tulishaachanaje yan kilitokea nn adi nikaachana nao..
 
Back
Top Bottom