Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Haka ka uzi na kale ka Mazingira hatarishi uliyowahi kufanyia mapenzi huwa kanapotea shetani anakarudisha
 
Hahaa haka ka uzi nilikamis leo nikasema nikafukue huko kaliko kumbe kweli watu bd wana matusi ya kuendeleza.
 
Wanawake wote pasua kichwa labda uwe na pesa za kutosha ndio hautaumia
 
Dora.. k kibuyu wewe ndo nini kunisaliti kiboya namna hiyo? kufwaaa popote ulipo. na wewe Rabia ulivyo na tabia mbaya ukafata njia zile zile alizopita Dora. mkufwee wote. afu we rabia ujue una miguu mibaya sana? nlikuwa sikwambii tu aseeh miguu ka fisi mjane! yani nashangaa ilikuwaje nika-date na wewe sijui uliniroga? kufwaaa!
 
Dora.. k kibuyu wewe ndo nini kunisaliti kiboya namna hiyo? kufwaaa popote ulipo. na wewe Rabia ulivyo na tabia mbaya ukafata njia zile zile alizopita Dora. mkufwee wote.
Haa ha ha..!! Daah aisee...
 
Back
Top Bottom