Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki nimecheka!! Pakacha limeonekana baada ya maumivu.
Hahaha!, nimewaza hivyo pia! [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki nimecheka!! Pakacha limeonekana baada ya maumivu.
Mmmhh kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] daaah mbavu zanguuInno go to hell uncircumsude baboon.
Daudi maana yake MPENDWA-BELOVEDDaudi jina silitaki hata kulitaja ukiachilia mbali kulisikia
Nalichukia mnooo
Kuliko harufu ya choo
Hahahaaaaaa uwiiii koment zenu zinachekesha kwakweliRehema!!
Mara Mia ningekutana na Chui nikapambana naye kuliko kukutana na Wewe!
Hatimaye ukakutana na kiboko yako! Uso umekujaa makovu utasema jambazi sugu! Pole sana!
Hili jina nadhani linaongoza so far...Popote ulipo irene yani me nakufumania na msamaha naomba mimi pumbavu.....
Mh! Jifunze kusamehe na ukisamehe utautua huo mzigo na utasahau. Kuendelea kumchukia mtu nikujiziba na baraka za Mungu. Tambua ulijikwaa wapi. Siyo ww tu yalikupata hata mm pia yameshanitokea ila najilaumu mm mwenyew kwa kumtongoza binti yule, nisingemtongoza nisingepatwa na mambo yote. Tujifunze kusameheDaudi jina silitaki hata kulitaja ukiachilia mbali kulisikia
Nalichukia mnooo
Kuliko harufu ya choo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kaliiiPopote ulipo irene yani me nakufumania na msamaha naomba mimi pumbavu.....
Naunga mkono hoja..!Jackline,mpaka leo unatapatapa.Mwanamke gani,laghai usieridhika?Na nimegundua baada ya utafiti ,Wakina Jackline wengi ni majanga.