Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Inauma kugawana boom na boyfriend ili alipe ada coz hana mkopo then mnamaliza anapata kazi anakutana na totoz anakuona bibi teh teh teh....kibaya magu anakuja kukukata 15%unasikia uchungu ukizingatia boom umegawana na nguchiro mmoja hivi.....
Daaaah kumaanina walai..! Nyege haijawahi kumuacha mtu salama..! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sitakusahau mshenzi Elizabeth Mlokozi kwa ulichonifanyia baada yakumaliza chuo ukapangwa kufundisha kanda ya ziwa huko kilichofuata nikunipigia simu na bwana uliye mpata uliniumiza sana lkn nashukuru ujio wa jpm wakutumbua vyeti feki ukatumbuliwa na ukawa ndio mwisho wa ndoa sasa unahangaika kusoma tena mm nashukur nilimpata mke anaye nifaaa huko arusha ulipo nakusalimia lkn pia sasa hivi sikupendi
 
Poleni sana bwana mliotendwa izo ni changamoto tu...

Mie nilitendwa Niko primary na esta daaah sema nishamsahu
 
Kuna vampire wakuitwa salome aloo ilibaki kidogo tumzike rafiki yetu kipenzi najua upo humu na ujamtaja salome
 
Salome.... Anitha....koku....asimwe...janeth....flora...blandina...mercy....mwaj....Pendo....angel....magreth....Macrina....atugonza....Sofia....nuru....haika.....Judith....Savera...kemmy.....Zey....aiseee...etc....nyie hamfai kabisa
Yaani wote hao wamekutenda!! Una nyota ya kutendwa.
 
Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
ha ha haaa!! nimecheka sana mkuu eti kama ulizaliwa mashine, ha ha haaa!!!
 
Mi nashindwa kuhukumu jina moja kwa moja kwa kuwa nimekuwa katika mahusiano na akina Christiner kama watatu hivi,
(1) Alikuwa mpole kazajia vema hana dharau ni mzuri sana ila nilipotezana nae baadae ya kupoteza simu, wakati huo nikawa nimehama nilipokuwa naishi mwanzo. ila nilimpenda pia aliniheshimu.
(2) Huyu alikuwa mzuri pia miguu ya bia, kwa kifupi ni mzuri na alinipenda kwa dhati. nilimkosa baada ya kuhamia mkoa mwingine, basi nikajikuta nampata mwingine ambae ndio story ilipo sasa.
(3)Huyu nilimpenda lkn amenitesa sana, yaani ni kicheche, mgomvi, mlevi, anapenda ligi, hapendi kushindwa hata kama ana makosa dhahiri, yaani anapenda pia kushoboka hasa kwa vijana wadogo, hajieheshimu, anapenda kusasa hovyo hata kwa jambo dogo. Kwa kifupi alinihatibia sana malengo na hata afya yangu ilikosa nuru kila kukicha ni ogomvi tu. Kwa hiyo katika hali kama hii nashindwa kuhukumu jina moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom