Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Dah! Pole sana ndege joni

Umeongea kwa hisia sana.
 
Hii yako nouma sana [emoji54] [emoji54] Pole sana sweetheart na imani ushasahau na maisha yanakwenda bila tatizo
 
Wasabato wote ni wanafiki na Malaya,, wote waume kwa wake kuna msenge mmoja amaitwa Stevn ni kilema ndo mana Mungu alimpa stroke..



Nahisi ashakufa.
 
John..mpenzi wangu wa kwanza huyu nlimpendaga mno..nlitelekeza vitu muhimu kwa ajili yake..nilikua msichana mwema kwake akaja nifanyia ushenzi..na nilimuambia chozi langu haliwezi kukuacha salama..Mungu akakufundisha adabu baada ya mwanamke ulie kua nae kuzaa na mwanaume mwingine..na sasa unaona mapenzi machungu na kila siku waniomba msaamaha kwa ulichonifanyia na unaomba urudi..Go to hell stupid!!
 
Wasabato wote ni wanafiki na Malaya,, wote waume kwa wake kuna ****** mmoja amaitwa Stevn ni kilema ndo mana Mungu alimpa stroke..



Nahisi ashakufa.
Kuna jamaa angu alikuja kubanbua wewe ulikosea kuchukua msabato wanachukuana wenyewe kwa wenyewe. Sina uhakika sana ila inawezekana ikawa kweli!
 
Nmefatilia hii thread mpaka kufikia hii page sijaona jina langu ...... oops sijamuumiza mtu [emoji4][emoji4]
 
Wasabato wote ni wanafiki na Malaya,, wote waume kwa wake kuna ****** mmoja amaitwa Stevn ni kilema ndo mana Mungu alimpa stroke..



Nahisi ashakufa.
Not fair mkuu, sio fair kabisa. Jitathmini upya, sio lazima kila unalowaza uliweke public, unatuhumu vijana wa kisabato kuwa wote ni malaya, jitathmini upya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…