Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole
 
hadi hapa naona kina neema, jack, lucy, mary wako offside lkn yote kwa yote kuna mbuzi zinaitwa stellah acha kabisa '" nilikuwa na mchumba wangu eeee tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo" huu wimbo huwa nikiusikia
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Dah...kwa hiyo mzee uliuza shamba na jogoo stella asome
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

What the hell she was?
 
Bahaty, Ulinifanya Hamna, ......Nipo naangaika na matibabu .... ... ....! #drama#drama#mapichapicha#pigachini...........!
 
What the hell she was?
Mkuu alikuwa hapendeki,unawez ukafanya jamv kumuimpresi lakin bado akaona hujafanya chochote. Nakiri nilikuwa bwege mtozeni kwake lakini all she gave me in return ni maumivu na kuniacha kwa sababu isiyo na mashiko. As far as i can remember haizid hata mara 5 kuniambia baby Gru i love you!! Nilijiapiza kabisa sitokuja kumcheat n alikuwa anajua hilo ila ndo hvyo akaona simfai.
Popote ulipo wewe mwanamke *** YOU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…