Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Ahahahaaaaaaa acha nifurah tu...
 
Doreen.... Nilikupenda mpaka nikawa bwege kwa ajili yako. Baada ya kumaliza shule ukajifanya kuniletea sababu za dini mara ooh mm msabato wewe wa mataifa mamaeee...nilitaka hata kubadilisha dini kisa lakin bado..ooh watt watapata shida what the ****[emoji51][emoji51] !!
Mpaka leo hii dem yeyote wa kisabato hata awe mzur vp simtak hata kumuona kama sio kumsikia. Sikulaani lakin MUNGU atajua akulipe nn
I never cheated on you i never lied you.. I sacrificed my time for you, i was blind and i'd not see any other girl but you. I got 5 words for you
**** YOU PUSSY ASS BITCH!! [midfinger]
[emoji15] [emoji87]
Matusi yote yake doooh...!!

We utakuwa mgeni wa mapenzi siyo bure.... !!
 
Hakika nimesikia vilio vyenu hebu kila mmoja anene kwa lugha baadaye nitaenda kupeleka malalamiko yenu kule kuzimu ili kuwapa adhabu walio watenda kimapenzi....

By katibu mkuu wa mawasiliano ofisi ya kuzimu.
[emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji91] [emoji119]
 
Wakisalitiwa wanafikiria kujiua... Sa demu unagonga kwa bao 1 unategemea asije kwa Morgan fisherman kupata bao 4 za ghafla... [emoji23] [emoji13] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23] [emoji23] et bhna aje huku apigwe bao za kutosha mpk papuchi itoe harufu ya mishkaki
 
Back
Top Bottom