Chacho Haulage
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 267
- 310
Mkuu maserati umeanza Kwa kucheka sana sikutarajia kama ungemaliza kwa comment hii.. Hahaha Hahaha Hahaha HahahaInno go to hell uncircumsude baboon.
Mkuu maserati umeanza Kwa kucheka sana sikutarajia kama ungemaliza kwa comment hii.. Hahaha Hahaha Hahaha HahahaInno go to hell uncircumsude baboon.
yaani huyo mbwa. Ilibidi tu nimalizie hivyo.Mkuu maserati umeanza Kwa kucheka sana sikutarajia kama ungemaliza kwa comment hii.. Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha
Sio kwa povu hiloooDoreen.... Nilikupenda mpaka nikawa bwege kwa ajili yako. Baada ya kumaliza shule ukajifanya kuniletea sababu za dini mara ooh mm msabato wewe wa mataifa mamaeee...nilitaka hata kubadilisha dini kisa lakin bado..ooh watt watapata shida what the ****[emoji51][emoji51] !!
Mpaka leo hii dem yeyote wa kisabato hata awe mzur vp simtak hata kumuona kama sio kumsikia. Sikulaani lakin MUNGU atajua akulipe nn
I never cheated on you i never lied you.. I sacrificed my time for you, i was blind and i'd not see any other girl but you. I got 5 words for you
**** YOU PUSSY ASS BITCH!! [midfinger]
Msamehe bure tu maana kwa comment hiyo najua imemtouch huko alikoyaani huyo mbwa. Ilibidi tu nimalizie hivyo.
Wengi ni maharage ya mbeyaLevina, jamanniii,
Kama unaitwa Angombwike huwezi kulikuta
Nishalisahau kitambo sanaMsamehe bure tu maana kwa comment hiyo najua imemtouch huko aliko
Wengine majina yetu unique ndo pona yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimgegeda?Doreen.... Nilikupenda mpaka nikawa bwege kwa ajili yako. Baada ya kumaliza shule ukajifanya kuniletea sababu za dini mara ooh mm msabato wewe wa mataifa mamaeee...nilitaka hata kubadilisha dini kisa lakin bado..ooh watt watapata shida what the ****[emoji51][emoji51] !!
Mpaka leo hii dem yeyote wa kisabato hata awe mzur vp simtak hata kumuona kama sio kumsikia. Sikulaani lakin MUNGU atajua akulipe nn
I never cheated on you i never lied you.. I sacrificed my time for you, i was blind and i'd not see any other girl but you. I got 5 words for you
**** YOU PUSSY ASS BITCH!! [midfinger]
Haya majina ya clementina ni wambulu sasa ujui tabia zao au?CLEMENTINA... Shenzi kabisa
Ndugu yangu na mm nilibadilikiwa na msabato tukiwa chuo. Hawa mabinti wa kisabato ni vigeugeu sanaDoreen.... Nilikupenda mpaka nikawa bwege kwa ajili yako. Baada ya kumaliza shule ukajifanya kuniletea sababu za dini mara ooh mm msabato wewe wa mataifa mamaeee...nilitaka hata kubadilisha dini kisa lakin bado..ooh watt watapata shida what the ****[emoji51][emoji51] !!
Mpaka leo hii dem yeyote wa kisabato hata awe mzur vp simtak hata kumuona kama sio kumsikia. Sikulaani lakin MUNGU atajua akulipe nn
I never cheated on you i never lied you.. I sacrificed my time for you, i was blind and i'd not see any other girl but you. I got 5 words for you
**** YOU PUSSY ASS BITCH!! [midfinger]
Hapana mkuu. Sikutaka kuweka hilo jambo kwanza coz niliona mwenzangu mtu wa dini sana so sikutaka kumkwaza na anifikirie labda namtamani kimwili. Can you believe nilikuwa kwa miaka zaidi ya mitatu lakin sikuwahi kumtaka kimapenzi?! Sijui nilirogwa na nani mimi khaaaUlimgegeda?
Pole saaana ndugu,najua inaumaje kuachwa. Mimi nishajiapiza sitokuja kuwa na binti wa kisabato tena maisha yangu yote. AminaNdugu yangu na mm nilibadilikiwa na msabato tukiwa chuo. Hawa mabinti wa kisabato ni vigeugeu sana
Wangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somoPole saaana ndugu,najua inaumaje kuachwa. Mimi nishajiapiza sitokuja kuwa na binti wa kisabato tena maisha yangu yote. Amina
Pole sana. Wangu pia alikuwa mkimya na mpole sana kiasi kwamba baadhi ya watu walikuwa wakimuogopa. Somo alilonifunza linaniongoza mpaka leo!Wangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo
Mkuu usiamini sana katika maisha ya udini wa mtu.Wangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo