Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,456
Hilo ndiyo kosa kubwa la kiufundi ulilofanya, hata mtu wa dini unagegeda tuHapana mkuu. Sikutaka kuweka hilo jambo kwanza coz niliona mwenzangu mtu wa dini sana so sikutaka kumkwaza na anifikirie labda namtamani kimwili. Can you believe nilikuwa kwa miaka zaidi ya mitatu lakin sikuwahi kumtaka kimapenzi?! Sijui nilirogwa na nani mimi khaaa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app