Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji15] [emoji87]
Matusi yote yake doooh...!!

We utakuwa mgeni wa mapenzi siyo bure.... !!
Ndo ilikuwa first love alafu akaja kunizingua. Nikikumbuka jinsi nilivyojizuia nisitoke na dem mwngne yeyote yule napata hasira sana.
Ila kwa kiasi fulani nilijifunza kupitia yeye sasa hv aaahh mambo mwemwere mwemwere tuu...!!!
 
Ndo ilikuwa first love alafu akaja kunizingua. Nikikumbuka jinsi nilivyojizuia nisitoke na dem mwngne yeyote yule napata hasira sana.
Ila kwa kiasi fulani nilijifunza kupitia yeye sasa hv aaahh mambo mwemwere mwemwere tuu...!!!
Pore xana rakini...
 
Daah Ndahani mwanaume niliekupenda kwa moyo wote nilihangaika kula boom na wewe wakati huna kazi umepata kazi nzuri mshahara mnono ukaniona takataka God is watching you,,wait for the karma to *** your ass,son of the bitch,nyoookooo
 
Doreen.... Nilikupenda mpaka nikawa bwege kwa ajili yako. Baada ya kumaliza shule ukajifanya kuniletea sababu za dini mara ooh mm msabato wewe wa mataifa mamaeee...nilitaka hata kubadilisha dini kisa lakin bado..ooh watt watapata shida what the ****[emoji51][emoji51] !!
Mpaka leo hii dem yeyote wa kisabato hata awe mzur vp simtak hata kumuona kama sio kumsikia. Sikulaani lakin MUNGU atajua akulipe nn
I never cheated on you i never lied you.. I sacrificed my time for you, i was blind and i'd not see any other girl but you. I got 5 words for you
**** YOU PUSSY ASS BITCH!! [midfinger]
Wasabato ni Malaya siwapendi *****
 
Hawa viumbe wanaoitwa jacky sijui wana laana mamaye, zao. Sijawahi kukutana na Jackline sio malaya tokea mtoto hadi nakua halafu wanakuwaga wanafiki balaa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa! Shenzzzz type zakee J!
Hata mimi 98% ya jack ni malaya
 
Hata mimi 98% ya jack ni malaya
Aisee huyo mwanamke alinisaliti hadi nikataka kuwehuka, ndio alinifundisha nini maana ya mapenzi ya kibongo. Jackline alikuwa ana maisha duni na aliutumia huo udhaifu kuteka hisia zangu ila kumbe ni mnafiki wa abuja!

Usije thubutu kumpa jina hilo mwanao, kama lina laana flani hivi
 
Mi lako nimeliona mara 2, teh!

Ila kule kwa Makonda sijui kama tutapona, wengi wataumbuliwa, ukiona jina langu wee nistue tu kiroho safi sister teh!
Haha umeona jina langu tulivyo watulivu, hatujatajwa hata mara moja lol

Jina lako kama lipo, taarifa utaikuta kwa wifi mara moja teh
 
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Saraphina Sarafina aisee sitokaa nisahau
 
No 2 hapo... Wakristo wengi ndio wako kwenye mitandao ya kijamii... wengine wapo bize kwenye kuendesha madaladala, bodaboda, ukondakta na ucheza mpira... si rahisi uwaone wakikomenti hapa... Unaweza ukafanya utafiti kuthibitisha haya...
Fact
 
1. Khadija,
2. Mary,
3. Jacky*2
4. Neema,
5. Dorine,
6. Happy,
7. Mariam,
8. Nancy,
9. Josefina,
10. Salome,
11.....,
12......
13.....
14......
.
.
.
.
Wengine nkikumbuka ntaongezea
 
Back
Top Bottom