Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Nani atembee na pampers noways nilimpiga nikamchania chania nguo zamani lakini nilivyokuwa bondia nimeenda na kikosi murua tukagonga mlango .
Akafungua walikuwa wameshavaa nguo.
Tukamtakasa kwanza .
Basi maisha yakaendelea

acha woga uo, hamna anaetembea na pampers. Raha tu zote
 
sabina mtoto wa kingoni alinipa uzoefu wa kusalitiwa toka nipo shule ya msingi, since then nimekuwa harsh sana kwa wanawake kiasi cha kuonekana waajabu
Mamaaeeee dem. Shule ya msingi anacheat kudadweki kweli Ngoni hatari
 
Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
Aisee huyo Erick alikukamata sana maana madem. Wanasema wanaume wenye majina hayo ni wapole na wakimya.. Ila ni nyoka
 
Mlaaniwe madem wote wa utumishi, Singida TC na Uhasibu Singida mlinifanya fala kumbe ni malaya hivyo ni mamama huruma kiasi hicho mnamegwa na vibabu mnanitaka kwa sababu zenu binafsi kuniongopea kumbe mnakazwa huko.

Nasemaje mbwa nyie woteee tabia zenu ni moja kama una dem au mke anasoma kwenye hivyo vyuo Mkoa wa singida huna chako manina
 
mkuu ,kama vile naelewa hasira ulizo nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…