Afuo naadeMweeeeeh!
Ifuo kendo[emoji134][emoji134][emoji1787]Afuo naade
πππ Mangeny'Ifuo kendo[emoji134][emoji134][emoji1787]
Huku mwenyewe ukijijua una matukio kibao dadeki...kwa lugha ya kipolisi wangesema Mhalifu Sugu[emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3] alitaka kukugaia na wewe virusi kidogoAnitha anitha anitha, we kiboko mtoto wa kihaya!
Nilidet na WEWE afu nakuja kukupima nakukuta una HIV+, imagine umemgegeda mtu kavu kavu, afu unampina, unamkuta hivo,kipi utafanya? Nilishawah kutoa ushuhuda Mara baada ya kutumia PEP, na Niko poa mpka Sasa, ila Anitha,Mungu anakuona
Nikisikia linaloanza na profeser..
Kabla hatajata yupi akili inanipeleka kwa lipumba au kabudi maana siwapendi kama nini
Hahahaha huyo unayemfahamu π[emoji3][emoji3][emoji3]hawachi yupi sasa
AISEEE
That is true, inauma kuachwa na mtu ambaye wew umetumbukia jumla jumla.Nimejifunza kwenye huu uzi kwamba woote waliotukana watu wao ndio true love wao na hao walioko nao ni watu tuu ambao imebidi wawe nao any way bila hizi fujo maisha hayanogi..
Duh na mm shawahi kuwa na Sabina ngoni nkiwa TPDF SEC maeneo ya Pwan na Dar
Nikisikia linaloanza na profeser..
Kabla hatajata yupi akili inanipeleka kwa lipumba au kabudi maana siwapendi kama nini
Mos ainyaππππ Mangeny'
Relax[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]