Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Lucy..........
 
[emoji23][emoji23]wa kwangu mie itabidi wote wanipishe nitoe povu langu ni la kitofauti kidogo
Aise, pole sana best. Siku ukiamua kutoa mapovu nitag nione hilo povu mimi nashukuru jina langu halijatajwa labda liko unique kidogo 😄😄😄.

Na kwa dada Niliyempenda ndio niko nae hadi hii leo, ingawa sometimes kuna ups and downs ila bado tuko nae, maybe pia kwa sababu pia ana jina unique sijaona hakitajwa hapa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kwa kichambo hiki Jeny hebu njoo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hv kumbe nanyi mnapata kiboko zenu eeh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hv kumbe nanyi mnapata kiboko zenu eeh
Hakuna jinsia inaongoza kwa kuumiza kwenye mahusiano kama Ke duniani!
Sema wanaume ni wavumilivu sana hatuongei wala kujilizaliza ovyo!!
Sasa hapa ndo pakutolea povu ndo maana unaona mapovu kama yote mkuu
 
Pole mkuu

Ila nyie mmezidi kutuumiza aisee, kama vile mmesababisha ke nao kurudisha mapigo ya maumivu
Asante mkuu ila we pia usiumize wengine maana si umesikia vilio vya humu ndani!
Ndo mjue wanaume huwa tunapenda kweli na ndo maana tunaumia sana.
 
Aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante mkuu ila we pia usiumize wengine maana si umesikia vilio vya humu ndani!
Ndo mjue wanaume huwa tunapenda kweli na ndo maana tunaumia sana.
Mi sijawai umiza mtu kama mtu simtaki au simpendi hata attention yangu hapati ila naumizwa tu sana...

Wanaume hamna upendo nyie ni hodari kwa kupretend, mngekuwa mnapenda kweli kusingekuwa na vilio mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…