Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Naam ukiwa na hii desturi. .utaishi kwa Amani sana duniani
 
Aise ''mpaka na staajabu. ..Hii inadhihirisha kwamba Uaminifu katika mahusiano rate yake ni 0
 
Neema...Neeema!

Coomer kibuyu ww ulinifanyia upumbavu sitasahau. 2 years plus nakufukuzia mtoto wa kike, ukijua nakupenda sana msenge maji ww ila ukawa unanivungia tu, at last ukaja kutombwa na mwamba classmate wangu na msela wangu pia kisa alikuwa na uwezo wa kuchapa code za information system project. Na hii ni week moja baada ya kutoka geto kwangu ukanikazia sex kwa ahadi kuwa utarudi ******** walai.

Kende ziliniuma sana this day kwa ugwadu.Shubakengemiti zako sitakaa nisahau jinsi ulivyoniumiza baada ya kugundua umeruka na mwana, binti wa kikaratu!

Na hili ndio lilikuwa funzo kwangu kuwa malaya akiingia geto lazma aishe hata kwa vita! Toka hapo nimeacha tabia za Yesu.

God forgives i don't!
 
Lol aise. ..bora hata ulivyo acha kufanya ulicho kuwa unafikiria. .maana ungeishia kujidhalilisha wewe mwenyewe
 
Hahahahahaha aise ''leo hakuna rangi ambazo nitaacha kuona. ....
 
Katika dunia ya sasa kwenye suala la mahusiano kila Mtu ni hatari suala la majina fulani --- wachache sana ndio waaminifu. ...

Hata hao waaminifu Wamekuwa waoga kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano
Hivi majina ya Sarah ni hatari mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…