Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

jesca magu
 
Daah! Kuna age ukifika kama usemavyo ni kuomba Mungu tu sababu ikitokea hiyo inabadilisha uelekeo wa maisha kwa asilimia kubwa sana.

Uwiiii! Wapi hapo jirani? Nimetajwa humu humuuu. [emoji3][emoji3][emoji3]

Kama ni humu kanitag hebu.
Hahaha sasa jina lako si watalijua. Nikikutag.
 
Konyagiii.

Huyu jamaa amenipa mkosi sana kila niki mtupia s
Lazima nirudishe chenchii. Ila wengine huwa awana shida hadi leo sitakiki kumsikia
 
Hahaaaaaaaaa huu uzi umesema ni jina gani lakini watu wameamua kusindikiza jina na tusi juu[emoji3] [emoji3]
hahahahahahahahahah mi nacheka tu hapa maana Napata raha

ndo ujue vile watu walishawahi kuumizwa kiasi wakisikia tu baadhi ya majina jinamizi la matusi linawapata
 
Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
hahahahahahahahaha huu uzi ulikuwaga wapi jamani khaaaaaa

maanake nacheka kama siko timamu

em nipumzisheni waandikaji khaaaaaaaa
 
Naomba uzi ufungiwe hapa maana jina la manzi angu halijatajwa.funga uzi nimesema asije akatajwa kumbe nao ni waumiza mioyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…