Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

Ktk harakati zangu ukubwani mimekutana na mtu akiitwa

"Mapenzi Kazinzuri"

Sina hakika huko shuleni na vyuo kama alipita alipata changamoto zipi.
 
Yule mkuu wa JKCI kabla ya kuwa kwenye spotlight jina la Ukoo lilikuwa halina shida ila Sasa ni wakati wa kubadili
 
Back
Top Bottom