Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

Nilikuta mahali jamaa wanasimuliana mshkaji anaitwa Ally jina la kati Shanto la mwisho ni mpare Mbaga.
Utamalizia mwenyewe lilikuwa linasomwaje
 
'Msengi', vijana wa hovyo kuna namna walikuwa wanawaza kwenye vichwa vyao
 
Back
Top Bottom