Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Old TraffordHivi uwanja wa Man U unaitwaje?
hii timu imekosa mvuto kabisa
Mm napenda jina la nagwanda sjaona ,japo sjawai kufika huko npo Kasikazin hukuMimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Uwanja huo umeitwa kwa heshima ya aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndugu Lawi Nangwanda SijaonaMm napenda jina la nagwanda sjaona ,japo sjawai kufika huko npo Kasikazin huku