Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kwa leo ni KMC, baada ya saa sita nitabadili.Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa leo ni KMC, baada ya saa sita nitabadili.Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Aisee Fantastic sana huyu jamaa Peter I don't know kwanini sikuhizi hasikiki kabisa kwenye actual gamesPeter Drury na Jim Beglin hata saivi wapo kwenye patched za PES KONAMI 2025
pale kwenye uwanja wenye jina bora The theatre of dreams, Old traffordAisee Fantastic sana huyu jamaa Peter I don't know kwanini sikuhizi hasikiki kabisa kwenye actual games
Kirumba ni nani? Mkwakwani ni nani? Majimaji ni nani? Taifa/Uhuru ni nani?Nyamagana
Hilo siyo jina la mtu bali ni jina la uwanja; viwanja vingine vimepewa majina ya watu
hahaha [emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kwamba tapika sana michuzi mixer vijamboEstadio Hernando Siles -Bolivia hapo Messi ilibidi awe anacheza huku kavaa mtungi wa Oxygen,tapika sana dagaa.Hewa nyembamba mnoo.
Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Roma have risen from their ruins! Manolas, the Greek God in Rome!"pale kwenye uwanja wenye jina bora The theatre of dreams, Old trafford
peter drury akimtambulisha C.Ronaldo akasema
"Beyond valuation beyond forgery or imitation. 18years since that trembling teenager of touch and tease first tiptoes onto this storied stage.
Now in his immaculate maturity. CR7 reunited"
Huyu mwamba anajua so poa
Kwa mkapa hatoki mtu 😂
Noumer sana so sad amezeeka atakufa aende na kipaji chake dah! ni kama yule wa BBC Earth David AttenboroughRoma have risen from their ruins! Manolas, the Greek God in Rome!"
"The unthinkable unfolds before our eyes! This was not meant to happen! This could not happen! This is happening!" Roma 3 -Barca 0
Kuna timu ilikula hamsa hapo..Al salaam stadium (cairo).