Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

Kirumba ni nani? Mkwakwani ni nani? Majimaji ni nani? Taifa/Uhuru ni nani?
Sema CCM Kirumba, CCM Mkwakwani na CCM Majimaji.; CCM ni jina la chama cha siasa. Uhuru ni rais mstaafu wa Kenya
 
Kwa mchina ndilo jina la uwanja nalilolipenda sijui Kwa nini walibadilisha ingawa mpaka leo nalitumia
 
Nyamagana.

Mkwakwani

Kirumba

Majimaji

Kaitaba

Surulele

Nakivubo

Machava
 
Back
Top Bottom