Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namungo StadiumTHE EMIRATES STADIUM.
Yes mimi ni shabiki wa arsenal
Alikuwa mbunge na waziri....kwao ni mnyambe wilaya ya newala huyo alihusika wakati wa harakati za kudai uhuruUwanja huo umeitwa kwa heshima ya aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndugu Lawi Nangwanda Sijaona
Ndio ni jina mtu alikuwa anaitwa Lawi Nangwanda sijaona...mimi nayeye kwetu ni kijiji cha mnyambe wilaya ya newala mkoa wa mtwara ndio vijana wa nyerere hao hata humu ndani Mohamed Said ashamuelezea....aliwahi kuwa mbunge na waziri piaNangwanda sijaona nalipenda sana sana hili jina sijui nilamtu
AsanteNdio ni jina mtu alikuwa anaitwa Lawi Nangwanda sijaona...mimi nayeye kwetu ni kijiji cha mnyambe wilaya ya newala mkoa wa mtwara ndio vijana wa nyerere hao hata humu ndani Mohamed Said ashamuelezea....aliwahi kuwa mbunge na waziri pia
Mimi navutiwa na uwanja wa stand unitedMimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Duuuh! Hivi wewe ni mtz kweli? Nangwanda na stand united ni mbingu na ardhiMimi navutiwa na uwanja wa stand united
Jina la uwanja ni Nangwanda sijaona
Nilichanganya na ndanda kwakuwa zote zilishuka darajaDuuuh! Hivi wewe ni mtz kweli? Nangwanda na stand united ni mbingu na ardhi
Booonge la jina . La Bombonera jina linavutia hadi kwenda uwanjaniLa Bombonera stadium,wahuni wa ARgentina huko …Bonge la uwanja na bonge la jina..!
Huu uwanja una jina la kipekee sanaMeja Jenerali Isamuhyo😍😍
Nangw'anda sijaona stadiumMimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.
Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.
Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
Kanisa kuu,Santiago Bernabeu