Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid.

Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano.

Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
La Bombonera. Hili ground liko Buenos Aires, Argentina. Hapa ndipo hupigwa ile derby maarufu ya River Plate vs Boca Juniors.
 
Back
Top Bottom