Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Wakuu nahitaji kuoa kwa sasa, kutokana na skendo zinazo endelea mitaani, kwamba yapo majina ambayo hayajatulia katika mapenzi, mfano Mwajuma, Asha Mapepe, Marry, Chausiku na mengineyo, imenifanya kuwa na hofu katika kuchagua jina sahihi la mwanamke wa kuoa, msaada wenu tafathar.
Mimi binabfsi na jina langu la Mjusi Sharobalo sijatulia hata kidogo...
Mimi binabfsi na jina langu la Mjusi Sharobalo sijatulia hata kidogo...