Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 3,248
- 6,146
Imeandikwa wapiMariamu wa bibilia alilishwa sakarament takatifu toka mbinguni, siyo kama hawa wetu wa Buza...
Imeandikwa wapiMariamu wa bibilia alilishwa sakarament takatifu toka mbinguni, siyo kama hawa wetu wa Buza...
Pole sana mkuu, aise anaroho ya msumali kweli...Anaolewa ntabadili ID soon.......
Walaka wa YOHANA mbatizaji...Imeandikwa wapi
Napenda ufahamu alikuwa ni Mwanamke aliyejitunza na kumheshimu Mungu, jambo ambalo linawezekana kwa mwanamke yeyote yuleWalaka wa YOHANA mbatizaji...
Ni kweliLakini sidhani kama jina lina uhusianona tabia
Unaumwa maralia ww, ushaambiwa ni mama yake yesu, tena ni kipindi cha zama na aliandaliwa na kuzaliwa kwa kusudi maalumu, usilinganishe na hawa tulionao kwa dunia ya sasa...Napenda ufahamu alikuwa ni Mwanamke aliyejitunza na kumheshimu Mungu, jambo ambalo linawezekana kwa mwanamke yeyote yule
Sauwa mkuu...Jichanganye na maneno ya waja utaeleza hamna formula
Huenda ikawa ni kweli au isiwe...Jina halina uhusiano na kutulia kwa mtu , majina ni just lebo tu
Si kweli ni imani tuHuenda ikawa ni kweli au isiwe...
Sawa kiongozi, unajua fika kabisa sipendi kubishana na mlevi mwenzangu japo nimestaafu...Si kweli ni imani tu
Unajipiga brash kwa kitambaa cha kufutia meza...Sisi akina Jimmy hatuna makuu
Ushauri mzuri mzuri sana ni wa kuchukua na kufungia kabatini kabisa udumu milele...BINAFSI NAFIKIRI KIJANA USIOE BINTI MLEVI WA POMBE
Dr am 4 real PhDSawa kiongozi, unajua fika kabisa sipendi kubishana na mlevi mwenzangu japo nimestaafu...
Anayeumwa naye anaona wenzake wanaume!!!Unaumwa maralia ww, ushaambiwa ni mama yake yesu, tena ni kipindi cha zama na aliandaliwa na kuzaliwa kwa kusudi maalumu, usilinganishe na hawa tulionao kwa dunia ya sasa...
Haaahaa 😂 😁 😄 😂 😂 😆 😆