Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Yanauhusiano mkuu... Mfano wakina Kevy, Kennedy ni viwembe sana kama siyo mkasi...Lakini sidhani kama jina lina uhusianona tabia
Me naona you unanifaa kabisa ww, mizimu yangu haiwezi nidanganya kabisa...Allien
INgekua hivyo watu wasingepewa majina mkuuYanauhusiano mkuu... Mfano wakina Kevy, Kennedy ni viwembe sana kama siyo mkasi...
Kheeeee 😂🙌Me naona you unanifaa kabisa ww, mizimu yangu haiwezi nidanganya kabisa...
Tulia mzee mwenzangu, nikiandika nyuzi za siansa zinapotea hewani, hadi napandwa na hasira, sasa tufanye nini na vipawa vya kuandika tunavyo, acha tuandike kinacho hitajika...Kizazi kijacho..
Tutakuwa na wazee wa hovyo sana
Tunapewa ili ukihitajika ujijue ni wwINgekua hivyo watu wasingepewa majina mkuu
Kabisa ngoja nitafute mshenga kabisa, au wewe hutaki mume Sharobalo kama mm...?Kheeeee
Nakubaliana kabisa na hoja yako, ila sijui alikufanya nini huyo Anna mkuu...Ukiona mwanamke anaitwa Anna mkimbie
Ingekuwa ishu ni majina Yesu asingezaliwa na Mariam... Jina halikupi mke sahihiWakuu nahitaji kuoa kwa sasa, kutokana na skendo zinazo endelea mitaani, kwamba yapo majina ambayo hayajatulia katika mapenzi, mfano Mwajuma, Asha Mapepe, Marry, Chausiku na mengineyo, imenifanya kuwa na hofu katika kuchagua jina sahihi la mwanamke wa kuoa, msaada wenu tafathar.
Mimi binabfsi na jina langu la Mjusi Sharobalo sijatulia hata kidogo...
Ngo'ombe kumi na milion 1 karibu sana Mjusi SharobaloKabisa ngoja nitafute mshenga kabisa, au wewe hutaki mume Sharobalo kama mm...?
Usiwaze dear ngoja nimvutie waya mjomba AZIZ KI anijazie lori ng'ombe, kama wale aliopeleka kwa shangazi HAMISA, hiyo milioni inayobaki natoa mwenyewe tu...Ngo'ombe kumi na milion 1 karibu sana Mjusi Sharobalo
Mariamu wa bibilia alilishwa sakarament takatifu toka mbinguni, siyo kama hawa wetu wa Buza...Ingekuwa ishu ni majina Yesu asingezaliwa na Mariam... Jina halikupi mke sahihi
Anaolewa😭😭 ntabadili ID soon.......Nakubaliana kabisa na hoja yako, ila sijui alikufanya nini huyo Anna mkuu...