Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
diamond-hollwood wake of fame.jpgmichael-jackson-hollywood-walk-of-fame-227762.jpghollywood walk of fame.jpg
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD WAKE OF FAME ambapo anakuwa mtanzania wa kwanza katika historia pale huandikwa majina ya watu maarufu/mashuhuri duniani kama heshima..mmoja ya mastaa ambao majina yao yameandikwa pale ni bruce wills,michael jackson ,JBieber na wengine wengi..Hongera My big boss,ni heshima kwako na sisi pia ..na Mungu ajalie kesho ushinde.
 
Hongera, anastahili pongezi kwa hatua aliyofikia mpaka sasa.
 
hata akikosa si mbaya keshatutangaza vya kutosha wenye roho mbaya mtasanda Sana....wenye wivu haooooo wachonganishi haoooooo....big up naseb Ramadan kareem
 
Naomba kujibiwa hiv Tuzo zinatolewa kesho au leo na ni saa ngapi mda EAT
 
Social constractivism...................anyway kwa vile ni kitu kinaonekana cha maana kwenye ulimwengu huu let me join others to congratulate him...hongera platnums
 
Ile sio Hollywood walk of fame ila ni recognition ya kila msanii anaegombea tuzo jaman... ila good luck diamond

Pale hajagombea kawa nominated kwani ni ubunge ule kusema katumia effort zake kupata nafasi ya kuwa nominee?watz tujifunze kusupportiana...alaaah!
 
Evab okay kawa nominated ila sikakataa kumsapport nilikua naelezea tu nnachojua kuwa ile mi bet recognition kwa kila msanii alieenda kwenye tuzo na its not Hollywood walk of fame.. halaf hujaona mwishon nimemuwish luck? au kwa vile nimesema kuwa hio sio hwf ndo naonekana hater? Lol
 
Evab okay kawa nominated ila sikakataa kumsapport nilikua naelezea tu nnachojua kuwa ile mi bet recognition kwa kila msanii alieenda kwenye tuzo na its not Hollywood walk of fame.. halaf hujaona mwishon nimemuwish luck? au kwa vile nimesema kuwa hio sio hwf ndo naonekana hater? Lol

Wakupishege uko, kwani lazima ata usipom wish?? Hakuna mtu anayelazimishwa kumpenda mtu bhana, wakafie chalinze uko
 
"Si unajuaa, wenye chuki na hiyana, wametukamia sanaaa"

Kila la kheri chibu, wanoumwa wafeeee!
 
Mkuu tatzo letu waTZ tunapenda sana uongo..
Hyo sio hollywood walk of fame,.

HIYO NI KUTambua uwepo wake kwenye tuzo za BEt na aihusiani na hollywood hata kidogo,sherehe za tuzo zikiisha na jna lake linatolewa hapo..

Avheni sifa za kijinga bhana,kupenda kujipa mambo yasiyokuwepo na yasiyowezekana..

Big up diamond kwa kutuwakilisha,ila mfundishe kaz huyu mtangazaji wako
 
Back
Top Bottom