Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 167709View attachment 167710View attachment 167711
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD WAKE OF FAME ambapo anakuwa mtanzania wa kwanza katika historia pale huandikwa majina ya watu maarufu/mashuhuri duniani kama heshima..mmoja ya mastaa ambao majina yao yameandikwa pale ni bruce wills,michael jackson ,JBieber na wengine wengi..Hongera My big boss,ni heshima kwako na sisi pia ..na Mungu ajalie kesho ushinde.
Mkuu tatzo letu waTZ tunapenda sana uongo..
Hyo sio hollywood walk of fame,.
HIYO NI KUTambua uwepo wake kwenye tuzo za BEt na aihusiani na hollywood hata kidogo,sherehe za tuzo zikiisha na jna lake linatolewa hapo..
Avheni sifa za kijinga bhana,kupenda kujipa mambo yasiyokuwepo na yasiyowezekana..
Big up diamond kwa kutuwakilisha,ila mfundishe kaz huyu mtangazaji wako
Hiv hzo tuzo zitaonyeshwa saa ngap..:?
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Naomba kujibiwa hiv Tuzo zinatolewa kesho au leo na ni saa ngapi mda EAT
hivi mnaijua hollywood walk of fame kuna stars kibao wa hollywood hadi leo hawajawekwa majina yao. halafu wabongo tupunguze kubwabwaja mauongo tunatia aibu jamani...hiyo nomination ya BEt hata last year kina Radio na Weasel waliipata na tuzo za Mtv mtu kama wahu na hubby wake walishinda 4 years ago na this year hata Amani wa kenya alikuwa nominated lakini hawana kelele kama hizi za diamond
duh tuko nyuma sana
leo jumapili 08.00
Nimeona ARAMA YA DIAMOND KWENYE WAKE OF FAME,Hongera Diamond.[/QUOTE
nchi hii inawatawalika na werevu sababu ya wapumbavu kama wewe.. huyo lupita mwenyewe atasubiri hata miaka 30 kupata hiyo heshima
Social constractivism...................anyway kwa vile ni kitu kinaonekana cha maana kwenye ulimwengu huu let me join others to congratulate him...hongera platnums
Binamu nimesikia habar mbaya kuwa ndomo hata perform leo ,akina davido na tiwa savage sijui na wasanii wengine wa ghana na south nDomo jukwaa ataishia kuliona tu
Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli ndo maana wanasiasa wanatuona mamburula.
Unanikosha sanaWarumi.Wakupishege uko, kwani lazima ata usipom wish?? Hakuna mtu anayelazimishwa kumpenda mtu bhana, wakafie chalinze uko
Nimeona ARAMA YA DIAMOND KWENYE WAKE OF FAME,Hongera Diamond.
leo nataka niziangalie binamu