heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ile sio Hollywood walk of fame ila ni recognition ya kila msanii anaegombea tuzo jaman... ila good luck diamond
Kaza Diamond, tupo nyuma yako.
Kuna wajinga wanaumia sana kusikia hivi
Ile sio Hollywood walk of fame ila ni recognition ya kila msanii anaegombea tuzo jaman... ila good luck diamond
Evab okay kawa nominated ila sikakataa kumsapport nilikua naelezea tu nnachojua kuwa ile mi bet recognition kwa kila msanii alieenda kwenye tuzo na its not Hollywood walk of fame.. halaf hujaona mwishon nimemuwish luck? au kwa vile nimesema kuwa hio sio hwf ndo naonekana hater? Lol