Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame


Hiv hzo tuzo zitaonyeshwa saa ngap..:?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 

Thank you nmesema Mimi naonekana hater dah
 
hivi mnaijua hollywood walk of fame kuna stars kibao wa hollywood hadi leo hawajawekwa majina yao. halafu wabongo tupunguze kubwabwaja mauongo tunatia aibu jamani...hiyo nomination ya BEt hata last year kina Radio na Weasel waliipata na tuzo za Mtv mtu kama wahu na hubby wake walishinda 4 years ago na this year hata Amani wa kenya alikuwa nominated lakini hawana kelele kama hizi za diamond
duh tuko nyuma sana
 
ANGALIA JINSI HATA WATU WANAMVYOLILIA JZY Z NA BEYONCE WAWEKWE


Whether it's film, music, television, or radio, fictional or real, the Hollywood Walk of Fame honors them all!
While the organization that runs the show is usually up on who deserves to have their name plastered on Hollywood Boulevard—there are a few EXCEPTIONAL snubs!
Take Jay Z and Beyoncé for instance…
They've sold out arenas around the world and made millions with their music—but no star!
Or funny lass Tina Fey…
She a best selling author, former Saturday Night Live star, Emmys host, and a 30 Rock acting/writing goddess!
Totally not fair!
Want to find out which other celebs you can't "walk all over" in El Lay?!


Read more: Celebs Who Should Have A Star On The Hollywood Walk Of Fame! | PerezHilton.com
 

Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli ndo maana wanasiasa wanatuona mamburula.
 
keith sweat alikutana na navio kwenye mansion ya R kelly na akamkubali sana then akaenda Uganda kwenye concert ambapo promoter alikuwa na beef na navio so akakata jina lake lakini keith sweat akafosi kumpandisha in the mid of the show sasa sipati picha ndiyo angekuwa diamond hapo.
labada wenzeu waganda na wakenya wamezoea maana hata collabo ya peter miles na Demarco wa jamaica imefanya vizuri sana na kushika chart, kwa mara nyingine sipati picha kama ingekuwa ni diamond
mwisho mr Heaven on desert jaribu kuheshimu akili za watu hapa ndani..pumbavu
 
Nimeona ARAMA YA DIAMOND KWENYE WAKE OF FAME,Hongera Diamond.[/QUOTE

nchi hii inawatawalika na werevu sababu ya wapumbavu kama wewe.. huyo lupita mwenyewe atasubiri hata miaka 30 kupata hiyo heshima
 
Social constractivism...................anyway kwa vile ni kitu kinaonekana cha maana kwenye ulimwengu huu let me join others to congratulate him...hongera platnums

Sembeeeeeeee

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Binamu nimesikia habar mbaya kuwa ndomo hata perform leo ,akina davido na tiwa savage sijui na wasanii wengine wa ghana na south nDomo jukwaa ataishia kuliona tu

leo nataka niziangalie binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…