Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

binafsi sielewi chochote kuhusu hayo makitu ila nilichogundua hiyo nembo yenye jina la MJ haina neno "BET" lakini ya diamond ina neno BET so inawezekana ikawa kitu tofauti pia huyu mleta habari anahisi watu wote humu hawafahamu kitu so akatake advantage hiyo,
 

Mi huyo ndomo ananiacha hoi anavyohainga nchi za watu kutafuta heshima wakat maisha anayoishi bado hayafikii ata robo ya hao mastaa anaotaka kushindana nao , badala atulie home amalizie nyumba afanye na miradi yake ya maana kutwa kuhangaika na akina davido.

Ivi siku kwa mfano huyo davido mashetan ndo yanampanda anamwambia ndomo anatak aje bongo kumsalimia aya huyo ndomo anampeleka wapi? Maana yeye akienda anafikiag kweny mihekalu ya maana, yeye atampeleka sinza mori? Akili ku mkichwa.

Bora mwenzie jide wakat wake kautumia vizur, ana nyumba na miradi ya maana ata leo akianguka si haba ana vitu vya kueleweka, aya uyo chai jaba akianguka anafanyaje? Ndo yanakuwa yale yale y marehemu kanumba, mara tutasikia hat hiyo prado anayoendeshaga ni ya mama rwakatare , maana wasanii wa bongo hawaishigi miujiza kila siku.

Ukiwa mtu mkubwa na maarufu inabidi ujitahid na wewe maisha yako yaendane na hiyo hadhi, yaan ata RIO PAUL anamshinda ndomo, maana yule bwabwa anaish kwenye apartment ya maana ata maisha yake pia ni expensive
 
Binamu nimesikia habar mbaya kuwa ndomo hata perform leo ,akina davido na tiwa savage sijui na wasanii wengine wa ghana na south nDomo jukwaa ataishia kuliona tu

mmmnh tungejuta! angepaform
 
Mungu anazid kusikia maombi yetu ma haters aka wachawi kama wanavyoniita, ndo maana team wema uko instagram kimyaa manina zao

mi nlichoka kuambiwa hana nyumba tatizo mondi hana washauri afu anashndana na ney,madee na kiba kweli?
 
Pale hajagombea kawa nominated kwani ni ubunge ule kusema katumia effort zake kupata nafasi ya kuwa nominee?watz tujifunze kusupportiana...alaaah!

evab tu support uongo.?
unaijua walk o fame wewe.?ndo ndo walewale TANDALE PRODUCTS.?
(Kwahyo tuunge mkono kitu cha uongo.?

no wonder wa Kenya wanatudharau sana..
 
Last edited by a moderator:

Well said!
 

Sidhani kama ni sahihi kumlaumu Diamond, coz siye aliyeweka huo uzi....na mleta uzi ni kama ana "wish" tu....mwisho wa siku naamini bongo tuna wajanja wa kutosha kuelewa ishu kama hizi, so sidhani kama mtaingia mkenge kirahiiiiiiiiiisi.

Kuna mambo ukisikia tu akili yako (kama ni mjanja) automatically itagundua msemaji/muandishi amechanganya mambo....sio kwa kuwa tu gazeti limeandika babu kagundua dawa ya kutibu ukimwi basi woooote mnahamia Samunge.......siku zote, za kuambiwa changanya na zako.

Nampongeza Diamond kwa hatua aliyofikia, na matamanio yangu ni kuona kazi zake kwenye youtube na kwingineko zinafikisha views milioni mia moja na zaidi.
 

Utakuta washadanganyana huko instragram na fb, akahisi huku kuna mapimbi kama huko.
 

We kijana mbona muongo hivyo? au ni mshamba?? tukusamehe kwa kupotosha jamii.?? Mschewxx your ignorance is beyond comparison. cheap publicity from an even cheaper PA. Diamond atadidimia akiendelea kukumbatia watu wa design yako...:angry:
 
Sio bure hii ni kazi ya secret society AKA freemason. Ole wake Yesu yu mlangoni . Nasemaa sio bure hii. Mwenye macho aone na mwenye masikio asikieeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…