Hyo sijaipat mbea mwenzangu, ebu nipe utamu nan kafumaniwa
Hahahahhaha nimeipata mtaa wa pili... makubwa haya. warumi unayo hii?
Nini haters? Watu tumeshaitwa wachawi kisa hatumsapot ndomo, watu wana wazimu kwel
Uko insta kuna msukule wa madame jipange jana kanishtuaje et ka post hyo icon ya walk of fame halaf kasema ndomo kashinda tu, mmh yani jipange ana kihere here na kujifanya mjuaji kumbe hakun kitu
hebu tuambie bana mtaa gani niende
Hyo sijaipat mbea mwenzangu, ebu nipe utamu nan kafumaniwa
Mko nyuma yake mnafanya nini?
Jamani taty tuwekeeni huo uji tunywe basi
Dida was ezdeee kamfumania mumewe.....hahahahaaa
huyo dida nae akaogeee alivyokubali kuolewa na mwanawe alifkriaje kwani...???nampa pole maana hana bahati na ndoa
Dida was ezdeee kamfumania mumewe.....hahahahaaa
Hongera! Tunzo zina tolewa lini?
Hongera! Tunzo zina tolewa lini?
huyo dida nae akaogeee alivyokubali kuolewa na mwanawe alifkriaje kwani...???nampa pole maana hana bahati na ndoa
Haya hiyooooo