Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

Uko insta kuna msukule wa madame jipange jana kanishtuaje et ka post hyo icon ya walk of fame halaf kasema ndomo kashinda tu, mmh yani jipange ana kihere here na kujifanya mjuaji kumbe hakun kitu

haha anapost wakati hata hata bado kufanyika akajipange kabla hatujampanga
 
huyo dida nae akaogeee alivyokubali kuolewa na mwanawe alifkriaje kwani...???nampa pole maana hana bahati na ndoa

Haya hiyooooo
 

Attachments

  • 1404065277915.jpg
    1404065277915.jpg
    61.3 KB · Views: 198
  • 1404065314502.jpg
    1404065314502.jpg
    66.5 KB · Views: 191
huyo dida nae akaogeee alivyokubali kuolewa na mwanawe alifkriaje kwani...???nampa pole maana hana bahati na ndoa

umefikiri kama mimi.. mi nikiangalia kile kipindi TV 1 edzen na jokate ndio wanaendana sio dida ko ilibidi awe na Dada age hizo sio yule mama
 
Sio siri mi naumia saaaana na promo ya huyu dogo wakati yuko shallow sana kikazi.

Watu kama akina Oliver mtukudzi au Selif keita wa Mali ndo wanapaswa kuwemo kwenye hizi tuzo kutokana na uzito wake.

Diamond ukipata haya hiyo tuzo bahati mbaaya kampe Oliver mtukudzi kwa heshima.
 
Back
Top Bottom