Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
- Thread starter
-
- #41
Nimejaribu mara sita kuku-PM, napata ujumbe kuwa the ID of the member has been changed. Lakini naishi karibu na pori la Mabwepande. Ukifika kwenye mbuyu karibu na mamantilie/mamalishe uliza tu,kwa Nonda wapi watakuleta nyumbani.
Uko siji Nonda. Mi mtu wa Mbeya ujue. Kuna mwenzetu mmoja kaponea chupuchupu uko.
kimeru anaitwa ikuma
ha ha ha ha....thema kweli?
Mkuu Safari_ni_Safari turudishie fedha zetu za kiingilio,mbulumundu ni jamii ya panzi na wanapatikana kwenye mihogo.Labda kama ni Kiluguru cha Marekani.
Iferekobe=Kimashami
Mkuu Safari_ni_Safari turudishie fedha zetu za kiingilio,mbulumundu ni jamii ya panzi na wanapatikana kwenye mihogo.Labda kama ni Kiluguru cha Marekani.
Fedha yenu mlinipa lini?
Nenda akakumeze si unajua Nonda ni bonge la joka liliwai kumeza kijiji kizima!