Jina la mdudu huyu kwa viluga please: Nina shuhuli nayo

Jina la mdudu huyu kwa viluga please: Nina shuhuli nayo

Nimejaribu mara sita kuku-PM, napata ujumbe kuwa the ID of the member has been changed. Lakini naishi karibu na pori la Mabwepande. Ukifika kwenye mbuyu karibu na mamantilie/mamalishe uliza tu,kwa Nonda wapi watakuleta nyumbani.

Uko siji Nonda. Mi mtu wa Mbeya ujue. Kuna mwenzetu mmoja kaponea chupuchupu uko.
 
Nenda akakumeze si unajua Nonda ni bonge la joka liliwai kumeza kijiji kizima!

Sangomwile ,
Acha kumtisha Highlander.
Joka lililomeza kijiji kizima linaita nonda, sio Nonda. This Nonda si joka ni "monkey" tu.
Kama na wewe unataka mwaliko karibu, tunakusudia kutengeneza msosi wa nguvu wa panyapori.
 
Back
Top Bottom